Wananchi bado sana. Dk 82 mechi ni sare, simu zimepigwa nyingi sana kwa viongozi wa Dodoma Jiji

Hata goli alilofungwa Ally na Namungo ni mauzauza.
Aziz ki kwa Manulla
Aziz ki dhidi ya Club African
Tunayependa haya magoli tunaendelea mwakani mfumo wetu mpaka Fei ajiunge Dunduka fc
 
Bahasha fc🐸🐸🐸🐸🐍🐍🐍🐍
 
Utateseka sana.
Yanga imepata ubinbwa kihalali kwa 100%.

Mambo ya ubingwa wa mchongo ni ya huko huko kwenu mtaa wa msimbazi.
 
Kwani unaugulia maumivu ukiwa pande zipi!!?? 🀣🀣
 

Na CAF pia wanatoa bahasha
 
Kumbe viongozi ndio walikuwa wancheza???
 
Review mechi za misimu miwili ya mwisho ambayo Simba wakichukua uningwa ambapo karibu kila mechi walipewa penalty kisha uweke takwimu hapa. Hilo ndilo tatizo la kuwa shabiki usiejielewa wa Ngada FC
 
Pumba tupu
 
Mtoa mada maumivu yakizidi tafadhaki mwone daktari
 
Wewe huujui mpira wa miguu,na acha uongo hivi ukikamatwa utoe ushahidi wa hayo unayosema utaweza?
 
Kolo Jinga unateseka ukiwa wapi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aiseee...watu mna muda wa kuuchezea, yaani gazeti lote hili kuandika upuuzi huu?
 
Soka letu kivyetu VYETU.

Wakienda kucheza na
MAMELOD.
Wydad.
Raja.
ALHALY
ZAMALECK
Kaizer cheef
Orando pirates.

MECHI YA KWANZA TU CHALI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…