Wananchi bado sana. Dk 82 mechi ni sare, simu zimepigwa nyingi sana kwa viongozi wa Dodoma Jiji

Hatuna habariiii
Tuko beach twala upepo wa bahariii....

Kolo..
😅🤣😅🤣😅🤣🤣🤣
 
Kama hauna chakuandika si bora mmtimiziee mumeo haki yake.
 
Huu Sasa ni wivu 🤣🤣
 
Na uckute mjinga wa namna hii ana familia inamtegemea watoto wana hali mbaya sana
 
Katawaze vizuri bado hujatakata
 
Nimetaka kukutukana ila nimeshindwa nikuchagulie lipi
 
Watu WA Mpira wanakubaliana na Mimi ila wale mashabiki maandazi wanataka kuporomosha matusi

Kwani asiejua nani kama upande huo wanatumia simu nyingi kwa timu pinzani
 
Watu WA Mpira wanakubaliana na Mimi ila wale mashabiki maandazi wanataka kuporomosha matusi

Kwani asiejua nani kama upande huo wanatumia simu nyingi kwa timu pinzani
Weka ushahidi wako hapa ili tusikuone taahira
 
Watu WA Mpira wanakubaliana na Mimi ila wale mashabiki maandazi wanataka kuporomosha matusi

Kwani asiejua nani kama upande huo wanatumia simu nyingi kwa timu pinzani
Simu ilipigwa kutoka kwa nani kwenda kwa nani?
 
Na uckute mjinga wa namna hii ana familia inamtegemea watoto wana hali mbaya sana
JF sihami leo wala kesho [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sawa basi tumekubali ubingwa chukueni nyie.

MJINGA APEWE CHEO
 
Na yule alietumwa apeleke mzigo kwa goalkeeper wa mtibwa mpk kufungiwa maisha alitumwa na GSM we mbumbumbu?
 
Maandishi marefu hakuna content ni mimavi mitupu hivi ninyi mashabiki wa Simba huwa akili zenu nani anawashikia??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…