Kumbe kwao mambo safi! Au uchawa wa kupewa 2000 wanajiona wamemaliza shida zao?
====================
Wananchi wilayani Busega wameeleza kuwa wanafahamu kazi kubwa iliyofanywa na mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM), Dk Samia Suluhu Hassan hivyo hawadanganyiki na maneno ya mitandaoni.