Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Nadhani niliweka uzi jana kama si juzi kuhusu kiupepo hiki cha wananchi kuhojiwa wakisifia OR TAMISEMI kusimamia vizuri mchakato wa wagombea kuchukua fomu na mpaka tamko la muda kuongezwa.
Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Yaani walitengeneza tatizo, wakasubiri lifukute, halafu wakalitatua, sasa wanaanza kujisia kwa kufanya vizuri
. Kwenye picha hii JamiiForums na JF Toons wamecheza kama pele;
Ujinga ni kwamba mnawapa watu wa kusifia ambao hata script wanashindwa kumeza!
mnabaki kuaibika, ni fezea
!
Haya tuendelea kuangalia maigizo, kule ndani wanatifuana basi ni vurugu mechi!
Nadhani niliweka uzi jana kama si juzi kuhusu kiupepo hiki cha wananchi kuhojiwa wakisifia OR TAMISEMI kusimamia vizuri mchakato wa wagombea kuchukua fomu na mpaka tamko la muda kuongezwa.
Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Yaani walitengeneza tatizo, wakasubiri lifukute, halafu wakalitatua, sasa wanaanza kujisia kwa kufanya vizuri

. Kwenye picha hii JamiiForums na JF Toons wamecheza kama pele;Ujinga ni kwamba mnawapa watu wa kusifia ambao hata script wanashindwa kumeza!
mnabaki kuaibika, ni fezea
!Haya tuendelea kuangalia maigizo, kule ndani wanatifuana basi ni vurugu mechi!