A
Anonymous
Guest
Wananchi walichanga pesa Tsh 5,000 kwa kila kaya kwa ajili ya ujenzi wa kituo mpya cha magari ya halmashauri, lakini cha ajabu mpaka sasa wananchi hawajui zile PESA zimefanya nini na kiasi gani kilikusanywa mpaka Leo.
Ujenzi wa stand haujafanikiwa na wala hamna anayefikiria ujenzi huo.
Je, ni lini ujenzi utaanzaa? Nini hatma ya pesa zetu?
Ujenzi wa stand haujafanikiwa na wala hamna anayefikiria ujenzi huo.
Je, ni lini ujenzi utaanzaa? Nini hatma ya pesa zetu?