Elections 2010 Wananchi Jitokezeni Chagueni CCM-JK live on Star TV!

Elections 2010 Wananchi Jitokezeni Chagueni CCM-JK live on Star TV!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Hizi kampeni za siku ya uchaguzi, zimeendelea kwa JK kupiga kampeni live, baada ya Lowassa kupiga kampeni kule Channel Ten, JK Mwenyewe amekipigia debe CCM live on Star TV, bado yuko hewani live!

JK anasisitiza kuwa umuhimu wa uchaguzi huu ni kwa chama changu, "lazima Tushinde!"

Tathmini yangu binafsi JK amejibu baadhi ya maswali kibabe, ila pia baadhi ya waandishi walimzonga sana, hivyo akajibu kama kero fulani, kwa wenye redio, sasa hivi yuko live on BBC Swahili akihojiwa na Lubunga Byaobwe.

NEC na waangalizi wa kimataifa wako wapi wakati ujangiri kama huu unafanyika?

Mimi sidhani kama huko ni kukampeni. Unayo sheria inayoelezea ambayo hayaruhusiwi siku ya uchaguzi?

JK anasisitiza kuwa umuhimu wa uchaguzi huu ni kwa chama changu, "lazima Tushinde!"

Nami namuona na tabia yake ni ile ile ya kudhani yeye ni mtu mkubwa sana! Hata siku ya uchaguzi naona hawezi kujishusha!

Lakini mbona anaruhusiwa kufanya kampeni? anayaoyazungumza ni maneno ya kampeni. Chagueni CCM na .....

Pia Mama Salma amezungumza, wakati JK akizungumza kibabe na jazba za hapa na pale kwa yale maswali ya kichokozi, Mama Salma was calm na amejieleza vizuri akiwa humble na down to earth. star TV wanairudia clip ya JK.

Kusema Chagua CCM sio kampeni live kwenye TVs na radio, au jukwaani tu ndo kampeni? embu nyie wataalamu mseme maana watu wasianze tu kutetea pumba!

Ameulizwa posibility ya chama chake kushindwa, amejibu with confidence, hatuwezi kushindwa!, ushindi ni lazima!.

JK anasisitiza kuwa umuhimu wa uchaguzi huu ni kwa chama changu, "lazima Tushinde!"

Usilolijua ni kama usiku wa kiza. JK na Chama Cha Majambazi wamegubikwa katika wimbi la giza nene hawaoni kule waendako, bado wanafikiria wanaweza kuwatetemesha wananchi walipa kodi.

Hizi kampeni za siku ya uchaguzi, zimeendelea kwa JK kupiga kampeni live, baada ya Lowassa kupiga kampeni kule Channel Ten, JK Mwenyewe amekipigia debe CCM live on Star TV, bado yuko hewani live!

Walie tu.

Nimejitokeza.

Nimechagua Chadema.

Wala mimi siyo Mchaga kama wanavyowadanganya majuha kuwa Chadema ni cha kikabila, cha Wachaga.

Kama anaweza aibe kura tu.

Kushinda kihalali hawezi.

Watu wako kwenye foleni, wanapungiana mikono kwa ishara ya Ushindi.

Hizi kampeni za siku ya uchaguzi, zimeendelea kwa JK kupiga kampeni live, baada ya Lowassa kupiga kampeni kule Channel Ten, JK Mwenyewe amekipigia debe CCM live on Star TV, bado yuko hewani live!

Pasco,

Umeisoma sheria na kweli inakataza hayo unayoyasema?

Kwa wenzetu walioendelea na ambao demokrasia zao tunaona zimekua, mahojiano kama hayo yanafanywa hata siku ya uchaguzi.

Tena Obama alitumia siku ya mwisho kupigia watu mbalimbali simu na kuwashauri wakapige kura.

Kama atakuwa anawasagia wapinzani wake au anaitisha mamia ya watu na kuwatuhubia hapo nitaelewa.

Jamaa bado hajiamini, anababaika kujibu maswali, anapanda jazba haraka...hizi ni dalili za mfamaji!

Only in Tanzania...

Sio kweli. Mbona Obama siku ya Uchaguzi alikuwa kwenye TV na pia alikuwa anawapigia watu mbalimbali simu ili wamchague?

Inaelekea hata sheria yenyewe hatuielewi.

Kusema ukweli, CCM watajizolea kura nyingi za wanawake as symphathetic votes kwa ajili ya Mama Salma, she is too humble na kuongea na kinamama wa low level akijishusha level yao na kuwaomba kura kwa lugha wanayoielewa, lugha yao. JK alivyokuwa akijishusha mpaka kukaa mavumbini, kubeba vitoto it was a total pretence, ukijipretend mara nyingi sauti na macho yana contrast ile action hivyo ma-manwatcher wanaiona hiyo pretence ili tuu kuombea kura, ila kwa upande wa Mama Salma, ni genuine humble na genuine down to earth.

kwa wanawake wa zamani! wa sasa wameelimika wanajua nani wa kumpigia, na hawadanganyiki. ccm ni mfumo ambao, usipotolewa nchi hii itaendelea kuzama kwenye tope la umaskini...

Pasco,

Umeisoma sheria na kweli inakataza hayo unayoyasema?

Kwa wenzetu walioendelea na ambao demokrasia zao tunaona zimekua, mahojiano kama hayo yanafanywa hata siku ya uchaguzi.

Tena Obama alitumia siku ya mwisho kupigia watu mbalimbali simu na kuwashauri wakapige kura.

Kama atakuwa anawasagia wapinzani wake au anaitisha mamia ya watu na kuwatuhubia hapo nitaelewa.

Japo sijaisoma sheria yenyewe, its just a matter ya comon sense kuwa siku ya uchaguzi public kampeni haziruhusiwi, person na interperson sinaruhusiwa mpaka dakika ya mwisho. Nilidhani kwa vile yeye sio tuu ni mkuu wa nchi, bali pia ni Mwenyekiti wa CCM, he should have known better!.

Back
Top Bottom