Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
JK anasisitiza kuwa umuhimu wa uchaguzi huu ni kwa chama changu, "lazima Tushinde!"
JK anasisitiza kuwa umuhimu wa uchaguzi huu ni kwa chama changu, "lazima Tushinde!"
Hizi kampeni za siku ya uchaguzi, zimeendelea kwa JK kupiga kampeni live, baada ya Lowassa kupiga kampeni kule Channel Ten, JK Mwenyewe amekipigia debe CCM live on Star TV, bado yuko hewani live!
Hizi kampeni za siku ya uchaguzi, zimeendelea kwa JK kupiga kampeni live, baada ya Lowassa kupiga kampeni kule Channel Ten, JK Mwenyewe amekipigia debe CCM live on Star TV, bado yuko hewani live!
Only in Tanzania...
Kusema ukweli, CCM watajizolea kura nyingi za wanawake as symphathetic votes kwa ajili ya Mama Salma, she is too humble na kuongea na kinamama wa low level akijishusha level yao na kuwaomba kura kwa lugha wanayoielewa, lugha yao. JK alivyokuwa akijishusha mpaka kukaa mavumbini, kubeba vitoto it was a total pretence, ukijipretend mara nyingi sauti na macho yana contrast ile action hivyo ma-manwatcher wanaiona hiyo pretence ili tuu kuombea kura, ila kwa upande wa Mama Salma, ni genuine humble na genuine down to earth.

Pasco,

Umeisoma sheria na kweli inakataza hayo unayoyasema?

Kwa wenzetu walioendelea na ambao demokrasia zao tunaona zimekua, mahojiano kama hayo yanafanywa hata siku ya uchaguzi.

Tena Obama alitumia siku ya mwisho kupigia watu mbalimbali simu na kuwashauri wakapige kura.

Kama atakuwa anawasagia wapinzani wake au anaitisha mamia ya watu na kuwatuhubia hapo nitaelewa.