Elections 2010 Wananchi Jitokezeni Chagueni CCM-JK live on Star TV!

atawakamata wanwake watu wazima sana labda ............wanawake vijana hawana imani hiyo.
 
Sio kweli. Mbona Obama siku ya Uchaguzi alikuwa kwenye TV na pia alikuwa anawapigia watu mbalimbali simu ili wamchague?

Inaelekea hata sheria yenyewe hatuielewi.

Wee vipi! Huna macho au huna masikio? Sheria ya US ni sawa na TZ? Tunafahamu yote hayo na usiende US hata Zambia inaruhusiwa kupiga kampeni hata siku ya kupiga kura.

TZ inakatazwa! Nasema tena inakatazwa. Ndo maana hata mabango yanaondolewa hata jezi za vyama zinaondolewa. Huyo mtu wako unayemuita JK umeona kavaa nyundo au jembe? Ongeza ufahamu.
 
Hakuna marefu yasiyo na ncha,Mimi nimepiga kura wakuchagua maendeleo ya jimbo langu na nchi yangu,ndg.zangu tupige kura tu wanaondelea na kampeni waendelee hata baada ya matokeo kutangazwa,"tusimfukuze chizi aliyetuibia taulo wakati tunaoga maana watu watashindwa kujua nani chizi na nani mzima":A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
 
Ni Star TV tuu ndio inatuletea live ya TV kwa maana halisi ya live na Channel Ten wao ni live ya sauti tuu, lakini pia ITV na live yao famba ya kurekodi na kukimbiza studio for playback make belive, wangekuwa na producer makini, alitakiwa awashauri team yake wasitaje time. Mtangazaji anarekodi huku akisema sasa hivi ni saa 12:30 asubuhi playback ni saa 2:30 asubuhi!.
 

This is crap!!!!!!!!
 
Hiyo ni kampeni live, au ndio tamaduni zile za zamani kwamba mkubwa hakosei, wakamatwe wote waliopiga kampeni leo bila sahau kikwete na lowasa
 
Ngoja tupate matokeo cha msingi JK akishindwa akubali apo hatutaka ubabe tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…