BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Kero za hii nchi zitatuliwa kwa mifumo Imara ya ufanyaji kazi na Serza nzuri.
Sasa ni Vipi Mkuu wa wilaya anaweza tatua Tatizo la Ajira labda wilayani kwake bila National Policy?
Mkuu wa Mkoa anaweza vipi tatua tatizo la aJira Mkoami kwake? Ana bajeti?
Ni vipi huduma mbovu za Afya ziatatuliwa na Mkuu wa wilaya au Mkoa wakati ubakuta chanzo chake ni Sera mbovu zikiwemo uhaba wa...