Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Nani anasema maoni pinzani,maoni kinzani yamezuiwa katika nchi hii.
Matatizo ya Wapinzani IGP Sirro alikuwa anawagombeza Chadema katika Uchaguzi uliopita. Anasema Chadema walikuwa hawana heshima kwa Polisi.
Tundu Lissu alikuwa anafanya kazi nzuri ya kuikosoa Serikali katika Bunge. Kashkash ya ESCROW ameifanikisha almost single-handedly.
Lakini kazi yake ilikuwa ni kazi ya halali ya Mbunge na ni aibu sana kwa nchi kwamba Kuna watu wamethubutu kumshuti risasi.
Sinui wangapi wamemsoma Hegel.
Alikuwa na yake Falsafa inaitwa dialectical , dialectical what,I cannot remember,kwa sababu siyo dialectical materialism,kwa sababu Hegel hakuwa materialist. Lakini Hegel alianzisha dialectics,dialectics maana yake kubishana.
Hegel na Fichte( Freemason) kabla ya Hegel,walianzisha dialectics,wanasema "maendeleo yanaletwa kwa kubishana,kwa kukinzana",kama Nani sasa hivi alikuwa anasema Membe na Lowassa walikinzana,kikatokea kitu ambacho siyo Membe Wala siyo Lowassa,akatokea Magufuli.
Ndiyo idea ya dialectics,kupambanisha vitu,kupambanisha opposites na ,kuondoka na resultant.
Kwa maana hiyo,Rais Samia anaposema anataka kuua mjadala ili alete maendeleo,hiyo inapingana na Hegelian Systems of government.
Tatizo la Wapinzani wakati mwingine ni watu wanalipwa hela kufanya criticism kwa wanaweza under kusema kitu, anything, against the government,wanakuwa hawataki kusubiri mpaka Serikali ikosee.
Rais anasema anapiga marufuku mikutano ya kisiasa. Tujadiliane polepole kuhusu hili swala ili tusikwame hapa.