Wananchi Kujadili Deni la Taifa ni Taswira ya Kujitambua waacheni Waandamane Msiwazuie, asema Rais!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais wa Nchi Jirani amefurahishwa na kitendo cha Wananchi Kujadili Ongezeko la Deni la Taifa na Kodi

Rais huyo amesema hiyo inaonyesha jinsi Wananchi Wanavyojitambua na Ukomavu wa Demokrasia

Hapa Tanzania Wananchi wengi Hata hawajui maana ya Deni la Taifa, wao huridhika wakiambiwa " hamtagongewa majumbani mwenu mlipe"

Mungu wa Mbinguni Ibariki Africa
 
Mfumo wa elimu wa kitanzania ni wakijinga haswa siyo rahisi mtu kujitambua kila anachofanyiwa anaona ni hisani ya Rais
 
Rais wa Nchi Jirani amefurahishwa na kitendo cha Wananchi Kujadili Ongezeko la Deni la Taifa na Kodi

Rais huyo amesema hiyo inaonyesha jinsi Wananchi Wanavyojitambua na Ukomavu wa Demokrasia

Hapa Tanzania Wananchi wengi Hata hawajui maana ya Deni la Taifa, wao huridhika wakiambiwa " hamtagongewa majumbani mwenu mlipe"

Mungu wa Mbinguni Ibariki Africa
Rais Ruto wa Kenya. Tanzania watu wamekalia uchawa na kujipendekeza kwa kiasi kikubwa. Tutegemee kujitambua miaka 100 ijayo
 
TL wakati anajadili muungano maana yake ni kuwa alikuwa anatoa elimu ya uraia ; kujitambua wajibu wako haki zako na wajibu wa serikali. Machawa kwa umoja wao na bila kujali vyeo vyao walimwita mchonganishi na kaishiwa sera.
Hiyo ni Tanzania watu wasiotaka kujitambua na kujielewa.
 
Ni huzuni Sana. Wakati CHADEMA tunaandama kupinga mfumuko wa bei, Kuna mdada mmoja muuza simu pale kariakoo alituzomea kisa yeye yupo dukani kweke sisi tunaandamana. Ila Leo nashangaa na wenyewe wafanya biashara wa kariakoo wanataka kugoma.
 
Mtanzania huwa anaamini tatizo la jirani yake halimuhusu. Mbinafimsi.

Kuna mzee huku kwetu ukitaka gombana nae anzisha habari za upinzani. Bahati nzuri CCM hawakumuacha kapa, wakamletea kitu kinaitwa kodi ya jengo hajakaa sawa wakamletea tozo yani ni mwendo wamabanzi tu. Kubaki anatukana tu.
 
Back
Top Bottom