johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mfumo wa elimu wa kitanzania ni wakijinga haswa siyo rahisi mtu kujitambua kila anachofanyiwa anaona ni hisani ya RaisRais wa Nchi Jirani amefurahishwa na kitendo cha Wananchi Kujadili Ongezeko la Deni la Taifa na Kodi
Rais huyo amesema hiyo inaonyesha jinsi Wananchi Wanavyojitambua na Ukomavu wa Demokrasia
Hapa Tanzania Wananchi wengi Hata hawajui maana ya Deni la Taifa, wao huridhika wakiambiwa " hamtagongewa majumbani mwenu mlipe"
Mungu wa Mbinguni Ibariki Africa
Ukweli tatizo la Tanzania ni elimu pekeeMwajuma Kishuzi wa Buza anawaza akadange alipe VICOBA halafu umwambie mambo ya deni la taifa, ataona unamzingua tu.
Mchonga meno alituweza hasa watanganyika kwa kutufanya mabumbuazi kwa kutunyima elimu.
Ukishanyimwa elimu, mnaswagwa kama ngombe tu,Mwajuma Kishuzi wa Buza anawaza akadange alipe VICOBA halafu umwambie mambo ya deni la taifa, ataona unamzingua tu.
Mchonga meno alituweza hasa watanganyika kwa kutufanya mabumbuazi kwa kutunyima elimu.
kabisa.Ukishanyimwa elimu, mnaswagwa kama ngombe tu,
Ndio maana mtu mzima anajiita chawa,
Rais Ruto wa Kenya. Tanzania watu wamekalia uchawa na kujipendekeza kwa kiasi kikubwa. Tutegemee kujitambua miaka 100 ijayoRais wa Nchi Jirani amefurahishwa na kitendo cha Wananchi Kujadili Ongezeko la Deni la Taifa na Kodi
Rais huyo amesema hiyo inaonyesha jinsi Wananchi Wanavyojitambua na Ukomavu wa Demokrasia
Hapa Tanzania Wananchi wengi Hata hawajui maana ya Deni la Taifa, wao huridhika wakiambiwa " hamtagongewa majumbani mwenu mlipe"
Mungu wa Mbinguni Ibariki Africa
Mtanzania huwa anaamini tatizo la jirani yake halimuhusu. Mbinafimsi.Ni huzuni Sana. Wakati CHADEMA tunaandama kupinga mfumuko wa bei, Kuna mdada mmoja muuza simu pale kariakoo alituzomea kisa yeye yupo dukani kweke sisi tunaandamana. Ila Leo nashangaa na wenyewe wafanya biashara wa kariakoo wanataka kugoma.