kabila01
JF-Expert Member
- Apr 21, 2009
- 4,235
- 4,964
Ukifanya tathimini unaweza kukuta asilimia 80 ya watanzania hawaijui na wala hawajawahi kuiona katiba ya nchi yao ya Tanzania. Wakati huo wanasiasa wanasimama majukwaani na kusema kiwango cha elimu hapa nchini kimepanda. hapo najiuliza ni elimu ipi iliyopanda ikiwa Idadi ya Watanzania wasioijua katiba ni kubwa kiasi hicho na mashuleni kuna somo la Uraia linafundishwa kuanzia shule ya msingi
Ukiangalia hata hao walimu wanaofundisha somo la uraia hawajwahi kuiona katiba ya nchi hii.
Ukiangalia hata hao walimu wanaofundisha somo la uraia hawajwahi kuiona katiba ya nchi hii.