Huu ni udhaifu na utengano. Yeyote na wa mahala popote anaweza kuhoji.Wana mbeya hususan pale vwawa alipoishi mdude mlitakiwa mje na mabango mengi sana ma elfu Kwa maelfu mkimuulizia mdude na wote waliopotea Tanga na nyie sijui kama ccm wamefika huko kwenye kampeni zao ila kama hawajafika msifanye makosa waliyoyafanya mbeya. Andaeni mabango mpite mbele ya rais mumuulizie Mzee soka. Kila la heri.
Sasa nyie chadema mmeshindwa kuandaa hayo mabango hadi muwatume wana CCM?Wana mbeya hususan pale Vwawa alipoishi Mdude mlitakiwa mje na mabango mengi sana Maelfu kwa maelfu mkimuulizia mdude na wote waliopotea.
Tanga na nyie sijui kama ccm wamefika huko kwenye kampeni zao ila kama hawajafika msifanye makosa waliyoyafanya mbeya.
Andaeni mabango mpite mbele ya rais mumuulizie Mzee soka. Kila la heri.
Samia ni Polisi?Wana mbeya hususan pale Vwawa alipoishi Mdude mlitakiwa mje na mabango mengi sana Maelfu kwa maelfu mkimuulizia mdude na wote waliopotea.
Tanga na nyie sijui kama ccm wamefika huko kwenye kampeni zao ila kama hawajafika msifanye makosa waliyoyafanya mbeya.
Andaeni mabango mpite mbele ya rais mumuulizie Mzee soka. Kila la heri.