Wananchi Mwanza wadaiwa kuzuia watu waliovalia kiraia kuondoka na watuhumiwa, waita Mkuu wa Kituo Pamba kuja kuwatambua

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.

Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.

Wapo sahihi kabisa. Askari anayepaswa kufanya arresting anatakiwa awe amevaa uniform.
Inapendeza kuona watu wameanza kuamka na wanajitolea kusimamia utekelezwaji wa sheria na taratibu.
Wananchi waichukue hii PGO wakaisoma na kuielewa na kuisambaza kwa wananchi wengine ili waweze kuwasimamia vizuri Polisi katika utendaji wao.
 
Attachments

Wakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.

Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.

Safi sana👋👋

Watu wasiojulikana, hiyo ndiyo dawa yao
Full Stop
 
Bado kidogo polisi wataanza kushambuliwa na kuuawa na wananchi wenye hasira kali.

Yote haya yatakuja kwasbb tu ya ujinga wa viongozi kutaka kusalia madarakani, wameunda magenge ya wahuni ndani ya vyombo vya dola.
 
Wakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.

Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.

Safi sana, kazi iendelee, hii iwe hata kwa wanaovaa sare kwa maana tumesha kuwashudia mapolisi feki
 
Back
Top Bottom