Safi sana👋👋Wakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.
Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.
SafiWakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.
Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.
Bado polisi wapo kwenye uchunguzi wa kuwatambua 😂Sasa walitambuliwa
Safi sana, kazi iendelee, hii iwe hata kwa wanaovaa sare kwa maana tumesha kuwashudia mapolisi fekiWakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.
Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.