GE2025 Wananchi Songea: Uchaguzi upo na Oktoba Tunatiki kwa Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Baadhi ya wananchi wa Mji wa Songea Mkoa wa Ruvuma wakitoa maoni yao kuhusu uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025 uchaguzi wa Rais, wabunge pamoja na madiwani

Wengi wao wameonyesha kumkubali Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan wakieleza yale aliyowatekelezea wananchi na kumnadai Mitano tena kwa Mama Samia

Soma pia GE2025 - Haya ni mapenzi kwa CCM au kujidhalilisha?

Your browser is not able to display this video.
 

Huko wanatick kwa sababu ya Nchimbi. Wanafikiri watafaidika ..... ndiyo akili ya Watanzania ilivyo.
 
Ukipanga mikoa na miji ambayo wananchi wake wana IQ ya chini sana Ruvuma ni mojawapo. Sijui kwa nini, wapo karibu sana na Mbeya (Mjini, Iringa (Mjini) huku kuna wenye IQ kubwa sana. Kwa nini Songea IQ ndogo sana? Najiuliza sielewi.
 
Jana ktk mkutano wao wa kampeni, waliwasomba wanafunzi wa songea boys na kuwavisha mashati ya kijani na njano, kuwabebelea vijana na mabinti na kuwapa mashati na kofia, wazee nao hivyo hivyo.

Full kuwajaza kwenye malori na fuso,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…