Elections 2010 Wananchi Tungesikilizwa Hivi Siku Zote...!

Mkuu unaweza sikilizwa sana, tabu inakuja kwenye kutekeleza uloyasema kwa msikilizaji.
Wahenga walinena hivi;"Usikatae wito,kataa neno"
umemwita akaja atakusikiliza kisha huyo enda zake,ukiona matokeo hakuna ndo ujue neno halijakubalika.
 
Kweli, JK wetu msikilizaji mzuri, utendaji mmh!
 
Anasikiliza au anaangalia mdomo unavyofunguka na kufunga??
 
I highly doubt if he is a good listener. Most likely this is all for show. Perception versus reality at its best....
 
Hiyo picha ni kwa ajili ya kupihia kampeni ili wadanganyika wadhani kuwa anajali wananchi. Lakini ukweli ni kwamba hata siku moja hatafanya lile ambalo watanzania wanamtuma ila lile ambalo serikali inalitaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…