Wafuasi wa Rais
Senior Member
- May 31, 2023
- 151
- 147
Ndugu wananchi wenzangu!
Kulipa kodi ni suala la kisheria. Lazima kila mwenye kipato alipe kodi.
Tusiishie hapo. Twende mbali zaidi. Tujitolee bure kwa ajili ya Taifa letu wenyewe. Kujitolea sio suala la kisheria kwa sasa. Sio lazima kwa sasa. Lakini kuna wengi tunaotamani hata liwe la kisheria. Liwe la lazima kwa ustawi wa Taifa letu wenyewe.
Mara nyingine huna kipato lakini una nguvu na akili na maarifa mengi. Tutumie nguvu hizo na hizo akili na maarifa kujitolea kwa ajili ya Taifa letu.
Tujitolee kwa niaba ya Rais kwa kuwa yeye ndio kiongozi mkuu wa nchi. Yeye ndio mwakilishi mkuu wa wananchi wa Taifa letu.
Tukifanya hvyo, tutakuwa tunajenga Taifa letu la mfano mzuri na bora zaidi kwa kizazi hadi kizazi.