fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Kwenye timu za kimataifa, ndugu watanzania wenzangu tuwe tunaondoa uyanga na usimbaa. Tukibahatika timu zote zikasonga mbele, ni faida kubwa kwa taifa na kuinua uchumi wa Tanzania.tukawasapoti simba waingie robo fainali,itasaidia kujenga uchumi wa nchi na maendeleo ya soka nchini.mkumbuke yanga ina historia ya kuisaidia simba,maana kuna mwaka tulikubali kufungwa ilibsimba wasishuke daraja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye timu za kimataifa, ndugu watanzania wenzangu tuwe tunaondoa uyanga na usimbaa. Tukibahatika timu zote zikasonga mbele, ni faida kubwa kwa taifa na kuinua uchumi wa Tanzania.
Mungu Ibariki SIMBA[emoji173]tukawasapoti simba waingie robo fainali,itasaidia kujenga uchumi wa nchi na maendeleo ya soka nchini.mkumbuke yanga ina historia ya kuisaidia simba,maana kuna mwaka tulikubali kufungwa ilibsimba wasishuke daraja
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu sifa ziende zenji sio.....Kwenye timu za kimataifa, ndugu watanzania wenzangu tuwe tunaondoa uyanga na usimbaa. Tukibahatika timu zote zikasonga mbele, ni faida kubwa kwa taifa na kuinua uchumi wa Tanzania.
Suphian tena na huku mnampiga spana😂Sawa Ila wapunguze mdomo mrefu kama viatu vya "suphian" na wakiri Kwamba Yanga ni Bora kuliko wao "kolos"
unaonaje kwenye droo robo fainali simba ikakutana na yanga, je yanga itakubali kufungwa na simba ili kuisaidia ifike nusu fainali, na je timu hizi za tanzania zikikutana kwenye fainali hiyo yanga itakubali kuisaidia ifungwe ili simba ichukue kombe?!Tukawasapoti Simba waingie robo fainali, itasaidia kujenga uchumi wa nchi na maendeleo ya soka nchini. Mkumbuke yanga ina historia ya kuisaidia Simba, maana kuna mwaka tulikubali kufungwa ili Simba wasishuke daraja.
Sent using Jamii Forums mobile app