wananchi tuwe na sheria ya kumwajibisha spika

wananchi tuwe na sheria ya kumwajibisha spika

makesy

Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
75
Reaction score
32
Hivi watanzania hatuna sheria tunayoweza kutumia kumkataa spika?Nauliza hili kwani pesa zinazotumika kuwalipa mishahara na posho ni kodizetu lakini kazi wanazofanya Bungeni hazina manufaa kwetu
 
wa kumwajibisha spika ni CCM pekee maana ndo waliomchagua
 
Azomewe kila atakapopita, kichefuchefu sana huyu bi mkubwa.
 
Back
Top Bottom