M makesy Member Joined Jan 29, 2013 Posts 75 Reaction score 32 Feb 7, 2013 #1 Hivi watanzania hatuna sheria tunayoweza kutumia kumkataa spika?Nauliza hili kwani pesa zinazotumika kuwalipa mishahara na posho ni kodizetu lakini kazi wanazofanya Bungeni hazina manufaa kwetu
Hivi watanzania hatuna sheria tunayoweza kutumia kumkataa spika?Nauliza hili kwani pesa zinazotumika kuwalipa mishahara na posho ni kodizetu lakini kazi wanazofanya Bungeni hazina manufaa kwetu
Naibili JF-Expert Member Joined Jan 24, 2011 Posts 1,878 Reaction score 1,060 Feb 7, 2013 #2 wa kumwajibisha spika ni CCM pekee maana ndo waliomchagua
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Feb 7, 2013 #3 Azomewe kila atakapopita, kichefuchefu sana huyu bi mkubwa.