PreGE2025 Wananchi Uyole wamchukulia fomu Dkt. Tulia Ackson kugombea Ubunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Wananchi wa Jimbo la Uyole Mkoani Mbeya wamemchukulia fomu ya kuwania Ubunge Dkt. Tulia Ackson katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2025 hapa nchini.


Akizungumza baada ya kuchukua fomu hiyo kwa niaba ya wananchi wa Jimbo la Uyole Adil Mwansepele amesema kilichowasukuma kumchukulia fomu Dkt. Tulia ni mapenzi yake kwa wananchi wa Jimbo hilo jipya la Uyole.


Your browser is not able to display this video.


Pia soma Pre GE2025 - Dkt. Tulia akimbia jimbo la Mbeya Mjini, atangaza nia kugombea jimbo jipya la Uyole
 
Wananchi wa Jimbo la Uyole Mkoani Mbeya wamemchukulia fomu ya kuwania Ubunge Dkt. Tulia Ackson katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2025 hapa nchini.

Akizungumza baada ya kuchukua fomu hiyo kwa niaba ya wananchi wa Jimbo la Uyole Adil Mwansepele amesema kilichowasukuma kumchukulia fomu Dkt. Tulia ni mapenzi yake kwa wananchi wa Jimbo hilo jipya la Uyole.
 
Acheni uongo uchaguzi ukiwa huru na haki tulia hatoboi
Hilo ni igizo sema ndo hivyo tena kwakuwa uchaguzi hauwezi kuwa huru Tulia anasubiri kuapishwa tu hapo!

Uchaguzi ni upotevu wa pesa za walipa kodi, unatakiwa kufutwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…