Uchaguzi 2020 Wananchi wa Kimamba wamhakikishia Rais Magufuli kwamba watamchagua Profesa Kabudi kuwa Mbunge wao. Atangaza nia

Uchaguzi 2020 Wananchi wa Kimamba wamhakikishia Rais Magufuli kwamba watamchagua Profesa Kabudi kuwa Mbunge wao. Atangaza nia

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wananchi wa kijiji cha Kimamba Wilayani Kilosa mkoani Morogoro wamemuahidi Rais Magufuli kwamba watamchagua Profesa Kabudi kuwa Mbunge wao.

Profesa Kabudi ni mzaliwa wa Kimamba na alisomea kijijini hapo kabla ya kufaulu na kwenda Mzumbe.

Profesa Kabudi ametangaza nia kwa kusema...
Mimi narudia tena kusema kuwa mkoa wa kimkakati wa maendeleo ni Morogoro, hata Baba wa Taifa aliliona hilo na sasa hivi tuna kiongozi anayetaka mabadiliko

Mimi ni kijana wenu, mzaliwa wa hapa na niwaambie kuwa mkinihitaji kuwatumikia niko tayari


Prof. Palamaganda.jpg

Chanzo: Channel Ten

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom