johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Endelea kukariri!Kuzaliwa na kusoma siyo sababu, kabudi ni Mgogo kwao Dodoma
Ukabila huo unaleta,Kuzaliwa na kusoma siyo sababu, kabudi ni gogo kwao dodoma
Asipopita kwenye kura za maoni itakuwaje?Endelea kukariri!
Unadhani Nyalandu alikuwa anafanya nini pale Clouds tv leo asubuhi?!Kumbe kampeni zimeanza!!
Mbona Sakaya sio mnyamwezi lakini ni mbunge wa Kaliua, acha ukabila weweKuzaliwa na kusoma siyo sababu, kabudi ni gogo kwao dodoma
Maamuzi ya mwisho yako kamati kuu bwashee.Asipopita kwenye kura za maoni itakuwaje?
Hiyo hiyo bwashee!Sio KIBAMBA, ni KIMAMBA
Zimeanza kwa CCM tuKumbe kampeni zimeanza!!
Wengine hapo wangeletewa Polisi na kulazwa ndani!Zimeanza kwa CCM tu
Wakitoka hapo ndio wanajisifia kwao kuna demokrasiaMaamuzi ya mwisho yako kamati kuu bwashee.
Chama kikikuhitaji bungeni haijalishi kura za maoni umefeli au umefaulu....utapitishwa!
Bwashee demokrasia ni dhana pana!Wakitoka hapo ndio wanajisifia kwao kuna demokrasia
Wananchi wamesema huyo mwarabu hawamjui!Kumbe kabudi kwao kimamba,Kimamba ni moja ya eneo la kifala Sana.Lina jina kubwa lakini ukifika utashangaa.Halafu mbunge wa maeneo Yale nadhani ni mwarabu.
Kweli kabisa Sakaya ni mchaga!Mbona Sakaya sio mnyamwezi lakini ni mbunge wa Kaliua, acha ukabila wewe