Sasa mnaharibu hela kwanini na kusumbua watu? Tena wewe mkorofi kama niniMaamuzi ya mwisho yako kamati kuu bwashee.
Chama kikikuhitaji bungeni haijalishi kura za maoni umefeli au umefaulu....utapitishwa!
Asipopita kwenye kura za maoni itakuwaje?
Maamuzi ya mwisho yako kamati kuu bwashee.
Chama kikikuhitaji bungeni haijalishi kura za maoni umefeli au umefaulu....utapitishwa!
Kabudi ametangaza kugombea kilosa
Salalee hivi mnamsikiliza Kabudi anavyojipendekeza kwa wananchi anajifanya anasalimia kiluga wamemchunia.
Zimeanza kwa CCM, ukifanya mtu wa upinzani, Polisi watakushukia kama mwewe!Kumbe kampeni zimeanza!!