Uchaguzi 2020 Wananchi wa Kimamba wamhakikishia Rais Magufuli kwamba watamchagua Profesa Kabudi kuwa Mbunge wao. Atangaza nia

Mbona unaweza kuzaliwa Kilimatinde lakini ukakulia Kilosa au ukazaliwa Kilosa ukakulia Singida, inawezekana sana tu.
 
Wabunge wengi hasa wa mijini si wasaliwa wa huko. eg Dar, Mwanza, na Arusha . Tatizo liko ma Wilayani huko bado ukabila upo.
 
Mtamchagua tena mwanamusic ambaye hajasoma mmuache huyu msomi? Kumbuka ni waziri wa mambo ya nchi za nje huyo. Kilosa, mchagueni awaletee tende na halluwa
 
Biography yake amezaliwa kilimatinde, kwa kauli mpya amesema amezaliwa kilosa.wakati mwingine watanzania tunatakiwa tuwe na alama hii ?he sio kosa kudanganya ,he kudanganya hakukuondolei UADILIFU?
 
Kwanza umeshindwa kuelewa jimbo LA prof. J ni lipi na prof kabudi anataka jimbo gani.pili hao maprof wapi wameisaidia nchi kutukwamua kwa kutumia u prof wao?
 
Ukiambiwa siasa ni uongo, ushahidi ni huu. Baba wa Taifa, kaondoka lini madarakani, leo hii miaka 35 baadae sijui profesa alikuwa usingizini, ati leo ndio kakumbuka Mg ni mkoa wa kimkakati na ghafla yeye ndio atawezesha huko kuwa mkoa wa kimkakati kuwezekana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…