KERO Wananchi wa Ruvu tunakabiliwa na tatizo kubwa la maji, ilhali hapa ndipo chanzo cha maji yanayosambazwa Dar es Salaam na maeneo mengine

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Wananchi wa Ruvu na vitongoji vyake tunateseka saaaana na shida ya maji aisee. Ni wiki ya tatu.mfululizo hatuna maji na tunauziwa dumu elfu moja.

Kinachoshangaza zaidi ni kwamba sisi wananchi ndo tupo jikoni kabisa yanapozalishwa maji na kusambazwa Dar es Salaam na maeneo mengine, ila kwa nini sisi ndo tunateseka namna hii??

Tunasikitika viongozi wetu wameshindwa kututetea kwenye hili, tunaomba taarifa hii imfikie mheshimiwa waziri mwenye dhamana Juma Aweso pamoja na mheshimiwa Rais ili tusaidike. Tunateseka sana wanachi wa Ruvu!
 
Jiunganisheni kienyeji tu mjivutie maji

Ova
 
SAMIA YUPO MBIONI KUTULETEA MAJI MATUKUFU YA ZAMZAM....
 
Back
Top Bottom