STEIN JF-Expert Member Joined Aug 29, 2010 Posts 1,771 Reaction score 553 Nov 12, 2010 #1 Nawaomba wana JF tuwapepongeze hawa wananchi kwa sababu zifuatazo: 1. Wameweza kuwaondoa mafusadi/wanaowaunga mkono katika maeneo yao. 2. Wameweza kulinda kura zao hadi kuhakikisha matokeo yametangazwa kama walivyopiga kura zao na kupata viongozi wanaowataka. 3.Wameonyesha mfano kwa watanzania wote kuwa mabadiliko yanawezekana. Tuzidi kuongeza na wengine wote waliolinda kura kwani kuanzia sasa ishue si kupigia kura chama mbadala ni pamoja na kulinda kura zake. Peoples Power.
Nawaomba wana JF tuwapepongeze hawa wananchi kwa sababu zifuatazo: 1. Wameweza kuwaondoa mafusadi/wanaowaunga mkono katika maeneo yao. 2. Wameweza kulinda kura zao hadi kuhakikisha matokeo yametangazwa kama walivyopiga kura zao na kupata viongozi wanaowataka. 3.Wameonyesha mfano kwa watanzania wote kuwa mabadiliko yanawezekana. Tuzidi kuongeza na wengine wote waliolinda kura kwani kuanzia sasa ishue si kupigia kura chama mbadala ni pamoja na kulinda kura zake. Peoples Power.
M Magezi JF-Expert Member Joined Oct 26, 2008 Posts 3,359 Reaction score 702 Nov 12, 2010 #2 Pongezi nyingi nazituma kwa watanzania waliopiga kura kwa CHADEMA na kuzilinda hadi mgombea wao akashinda popote walipo Tanzania. Mungu awabariki, Amina.
Pongezi nyingi nazituma kwa watanzania waliopiga kura kwa CHADEMA na kuzilinda hadi mgombea wao akashinda popote walipo Tanzania. Mungu awabariki, Amina.
Mungi JF Gold Member Joined Sep 23, 2010 Posts 16,973 Reaction score 9,572 Nov 12, 2010 #3 STEIN said: Nawaomba wana JF tuwapepongeze hawa wananchi kwa sababu zifuatazo: 1. Wameweza kuwaondoa mafusadi/wanaowaunga mkono katika maeneo yao. 2. Wameweza kulinda kura zao hadi kuhakikisha matokeo yametangazwa kama walivyopiga kura zao na kupata viongozi wanaowataka. 3.Wameonyesha mfano kwa watanzania wote kuwa mabadiliko yanawezekana. Tuzidi kuongeza na wengine wote waliolinda kura kwani kuanzia sasa ishue si kupigia kura chama mbadala ni pamoja na kulinda kura zake. Peoples Power. Click to expand... Umesahau Ukerewe, Mbeya mjini, wote walikuwa mafisadi.
STEIN said: Nawaomba wana JF tuwapepongeze hawa wananchi kwa sababu zifuatazo: 1. Wameweza kuwaondoa mafusadi/wanaowaunga mkono katika maeneo yao. 2. Wameweza kulinda kura zao hadi kuhakikisha matokeo yametangazwa kama walivyopiga kura zao na kupata viongozi wanaowataka. 3.Wameonyesha mfano kwa watanzania wote kuwa mabadiliko yanawezekana. Tuzidi kuongeza na wengine wote waliolinda kura kwani kuanzia sasa ishue si kupigia kura chama mbadala ni pamoja na kulinda kura zake. Peoples Power. Click to expand... Umesahau Ukerewe, Mbeya mjini, wote walikuwa mafisadi.
MANI Platinum Member Joined Feb 22, 2010 Posts 7,318 Reaction score 6,391 Nov 13, 2010 #4 Nafikiri tuwape pongezi wale wote waliochagua mabadiliko na sisi wengine kura zetu ziliibiwa ndio maana hazikutosha.
Nafikiri tuwape pongezi wale wote waliochagua mabadiliko na sisi wengine kura zetu ziliibiwa ndio maana hazikutosha.