Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Wananchi wa vijiji vya Lwega na Mwese vilivyopo halimashauri ya wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wamesema kampeni ya msaada wa kisheria ya mama Samia inapaswa iwe endelevu kwani imewajengea uelewa wa kufahamu mambo mbalimbali ikiwemo kutatua migogoro.
Katika vijiji hivyo migogoro mingi iliyoelezwa na wananchi hao inahusu ardhi ambapo wanahitaji kupimiwa maeneo yao sanjari na kupewa hati za kumiliki ardhi.
Katika vijiji hivyo migogoro mingi iliyoelezwa na wananchi hao inahusu ardhi ambapo wanahitaji kupimiwa maeneo yao sanjari na kupewa hati za kumiliki ardhi.