Wananchi waacheni polisi wafanye kazi yao mitandao ya utekaji huwa mikubwa kuwajua wote huchukua muda mrefu kama kumaliza ugaidi
Waweza kamata mtu asaidie uchunguzi akataja wengine .Wakawa hao wengine wanatafutwa kwa udi na uvumba polisi hawawezi tu kila muda wakishika mtu kesho mahakamani na kutangaza vyombo vya habari kuwa tunaye wakati kuna mapapa wanatafutwa.
Hata Marekani nchi iliyoendelea walishikwa watu kibao kwa ugaidi wamekaa muda mrefu wengine miaka bila kufunguliwa mashtaka na baadaye wengine wakaachiwa
Ugaidi na utekaji polisi wanstakiwa wapewe muda na nafasi ya kutosha vinginevyo wakiwa ropoka ropoka vyombo vya habari kufurahisha baraza waweza vuruga kila kitu .Usiri mkubwa hutakiwa hadi kieleweke kutowapa mwanya watekaji waliosalia mitaani wanaotafutwa kukamatwa ku escape Au kubadili mbinu nk
U polisi ni Proffession kama zingine uheshimiwe Wakiambiwa fuatilieni hili wanakuwa kazini hasa seriously
Kesi za utekaji na ugaidi sio fast food kuwa sasa hivi linatokea sasa hivi utoe majibu ya waliohusika