Wananchi waacheni polisi wafanye kazi yao, mitandao ya utekaji huwa mikubwa kuwajua wote huchukua muda mrefu

Hakuna litakalofanyika nakuapia! Polisi hawahawa au! Kibao alichukuliwa na magari ya mapolisi tambua hilo
 
Punguza ujuaji mkuu
 
Wananchi waacheni polisi wafanye kazi yao mitandao ya utekaji huwa mikubwa kuwajua wote huchukua muda mrefu kama kumaliza ugaidi
Bwana Police unamaanisha tuwaaache muendelee na utekaji na kuuwa bila Kukemewa?!
 
Mbona hiyo kesi ya siku nyingi sana na kuwa ilishapelekwa mahakamani siku nyingi

Sema watu wanaleta clip hata za zamani sana na kuweka humu
Clip zikirushwa angalieni za mwaka gani kaiangalie tena huko ulikoiona
Hukumu yake ilikuaje?🤔
 
Je, Una uhakika kwamba hauugui kichaa?
 
Watekaji ni hao hao Polisi watu sio wajinga hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…