wananchi waidai ccm rasilimali zao

wananchi waidai ccm rasilimali zao

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2010
Posts
899
Reaction score
1,103
ccm waache kujidai kuja na mijadala yao bungeni kuhusu fedha za uchaguzi kwakuwa utajiri waliyo nao siyo wao nimali ya umma ila wametumia udikiteta kujimilikisha na wamevunja katiba ya nchi kwakuwa wananchi wakipindi hicho walikuwa wakichanga kwa ajili ya maendeleo ya nchi yao na siyo ccm, ilpo karibia mika ya 1984 ccm walianza hujuma hizo kwakutambua vya vingi vinakuja, hapa ndipo utagundua ufisadi wa ccm ni chama kizima na siyo mmoja mmoja kama wanavyo jitetea, wadau idondosheni ccm kwa ulafi waliyo nao
 
Ni wazo zuri. CHADEMA ilifungua kesi kule Ruvuma kudai uwanja wa mpira wa Maji Maji ambao CCM iliupora toka kwa umma urudishwe kwa serikali ama kwa wananchi.

Inabidi tuandae hapa orodha ya mali za namna hiyo ili umma uweze kuzidai:

1. Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha
2. Uwanja wa Kirumba Mwanza
3.........
4................

serayamajimbo
 
Back
Top Bottom