ccm waache kujidai kuja na mijadala yao bungeni kuhusu fedha za uchaguzi kwakuwa utajiri waliyo nao siyo wao nimali ya umma ila wametumia udikiteta kujimilikisha na wamevunja katiba ya nchi kwakuwa wananchi wakipindi hicho walikuwa wakichanga kwa ajili ya maendeleo ya nchi yao na siyo ccm, ilpo karibia mika ya 1984 ccm walianza hujuma hizo kwakutambua vya vingi vinakuja, hapa ndipo utagundua ufisadi wa ccm ni chama kizima na siyo mmoja mmoja kama wanavyo jitetea, wadau idondosheni ccm kwa ulafi waliyo nao