JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara na Wananchi wanaoishi katika Kijiji cha Nyamongo wameiomba Serikali kuwachukulia hatua waliohusika na vifo vya wananchi baada ya kutokea mgogoro katika eneo la Mgodi wa North Mara ambapo wananchi hao wanatuhumiwa kuvamia maeneo ya uchimbaji katika mgodi huo….
Rai hiyo imetolewa wakati wa Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Nyamongo ambapo mkutano huo ulihudhuriwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni na Waziri wa Madini,Anthony Mavunde waliofika kutatua mgogoro huo………