johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wananchi walijipanga barabarani kutoka Wizara ya Fedha hadi Bungeni wakimshangilia Waziri akienda kusoma Bajeti ya nchi.
Kabla ya kuondoka Kwaya ya Hazina ilitoa burudani kisha Msafara wa Waziri wa Fedha kuelekea Bungeni ukaanza, Waziri akitumia gari ya Bei ya chini VW Passat inayotumia mafuta kidogo.
Msafara wa Waziri wa Fedha iliongozwa na Kikosi cha Farasi cha Polisi.
Source: Citizen TV