johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwani tayari walikuwa wanakijua kinachoenda kusomwa?Wananchi walijipanga barabarani kutoka Wizara ya Fedha hadi Bungeni wakimshangilia Waziri akienda kusoma Bajeti ya nchi
Kabla ya kuondoka Kwaya ya Hazina ilitoa burudani kisha Msafara wa Waziri wa Fedha kuelekea Bungeni ukaanza Waziri akitumia gari ya Bei ya chini VW Passat inayotumia Mafuta kidogo
Msafara wa Waziri wa Fedha iliongozwa na Kikosi cha Farasi cha Polisi
Source: Citizen TV
Elimu Elimu Elimu...maweee!Wananchi walijipanga barabarani kutoka Wizara ya Fedha hadi Bungeni wakimshangilia Waziri akienda kusoma Bajeti ya nchi
Kabla ya kuondoka Kwaya ya Hazina ilitoa burudani kisha Msafara wa Waziri wa Fedha kuelekea Bungeni ukaanza Waziri akitumia gari ya Bei ya chini VW Passat inayotumia Mafuta kidogo
Msafara wa Waziri wa Fedha iliongozwa na Kikosi cha Farasi cha Polisi
Source: Citizen TV
Citizen TV?bajeti ya Tz?Wananchi walijipanga barabarani kutoka Wizara ya Fedha hadi Bungeni wakimshangilia Waziri akienda kusoma Bajeti ya nchi
Kabla ya kuondoka Kwaya ya Hazina ilitoa burudani kisha Msafara wa Waziri wa Fedha kuelekea Bungeni ukaanza Waziri akitumia gari ya Bei ya chini VW Passat inayotumia Mafuta kidogo
Msafara wa Waziri wa Fedha iliongozwa na Kikosi cha Farasi cha Polisi
Source: Citizen TV
Nadhani ni Kenya nimeshangaa waziri wa bongo atumie voxywagen Passat huku V8 zikiwa wapiCitizen TV?bajeti ya Tz?
Huyo chizi anataka kuchanganya watu kusudiNadhani ni Kenya
SureKama aliweza kulipa watu kuandika jina lake kwenye majabali nchi nzima hashindwi kulipa watu wasimame barabarani kujifanya wana msupport.
Hao waliosimama ukiwauliza nini kimeenda kusomwa hata hawajui. Wamechukua buku 5 zao maisha yanaendelea.
Uhuni mtupu, urais hautafutwi hivyo kama afanyavyo panyaWananchi walijipanga barabarani kutoka Wizara ya Fedha hadi Bungeni wakimshangilia Waziri akienda kusoma Bajeti ya nchi
Kabla ya kuondoka Kwaya ya Hazina ilitoa burudani kisha Msafara wa Waziri wa Fedha kuelekea Bungeni ukaanza Waziri akitumia gari ya Bei ya chini VW Passat inayotumia Mafuta kidogo
Msafara wa Waziri wa Fedha iliongozwa na Kikosi cha Farasi cha Polisi
Source: Citizen TV
Aiseee?! Tumefikia hii hatua?! Kumbe mtoto usipomfinya mashavu mapema anakuwa chatu angali junior?! What a shame is it?! Rai's SSHWananchi walijipanga barabarani kutoka Wizara ya Fedha hadi Bungeni wakimshangilia Waziri akienda kusoma Bajeti ya nchi
Kabla ya kuondoka Kwaya ya Hazina ilitoa burudani kisha Msafara wa Waziri wa Fedha kuelekea Bungeni ukaanza Waziri akitumia gari ya Bei ya chini VW Passat inayotumia Mafuta kidogo
Msafara wa Waziri wa Fedha iliongozwa na Kikosi cha Farasi cha Polisi
Source: Citizen TV
Na amefanikiwaHuyo chizi anataka kuchanganya watu kusudi
Boss wake asipomdhibiti anaweza kuleta madhara makubwa sana kwa uchumi wetuKama aliweza kulipa watu kuandika jina lake kwenye majabali nchi nzima hashindwi kulipa watu wasimame barabarani kujifanya wana msupport.
Hao waliosimama ukiwauliza nini kimeenda kusomwa hata hawajui. Wamechukua buku 5 zao maisha yanaendelea.
Hao ni wananchi wa kata ya SengeWananchi walijipanga barabarani kutoka Wizara ya Fedha hadi Bungeni wakimshangilia Waziri akienda kusoma Bajeti ya nchi
Kabla ya kuondoka Kwaya ya Hazina ilitoa burudani kisha Msafara wa Waziri wa Fedha kuelekea Bungeni ukaanza Waziri akitumia gari ya Bei ya chini VW Passat inayotumia Mafuta kidogo
Msafara wa Waziri wa Fedha iliongozwa na Kikosi cha Farasi cha Polisi
Source: Citizen TV
Wamekutana pipa na mfuniko.Boss wake asipomdhibiti anaweza kuleta madhara makubwa sana kwa uchumi wetu
Ipo siku atajuta kumfahamuWamekutana pipa na mfuniko.