geophrey140
Senior Member
- May 4, 2013
- 134
- 208
Wananchi wengi wajitokeza kupata matibabu bure katika meli ya madaktari kutoka China. Baadhi walalamikia utaratibu mbovu unachangia msongamano wa watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
*****, tz tunaumwa aiseeView attachment 634888
Wananchi wengi wajitokeza kupata matibabu bure katika meli ya madaktari kutoka China. Baadhi walalamikia utaratibu mbovu unachangia msongamano wa watu.
Sio kupenda kitonga mkuu watu tunaumwa na pesa hatunacheap is expensive, wabongo tunapenda kitonga, kuteleza tu.