Wananchi walikotoka Viongozi wana faida ya ziada

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,491

Kassim Majaliwa
Nimepokea hundi ya sh. 10, 000,000/= kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bibi Ineke Bussemaker ukiwa ni mchango wa Benki hiyo kwa timu ya mpira wa miguu ya Namungo ya wilayani Rungwa.
 
Mpanda kuna international airport, imekula mabilioni Na haitumiki
Walijenga UNHCR ile Airport kwa ajili ya kusaidia wananchi maeneo ambayo wakimbizi wamekaa kwa muda mrefu....ni matunda ya kuwahifadhi wakimbizi katika makazi ya Mishamo na Katumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…