Wananchi wameshachoka kimaisha wameamua kujichukulia sheria mikononi mwao

Wananchi wameshachoka kimaisha wameamua kujichukulia sheria mikononi mwao

Inafikirisha sana. Ila wakimaliza kubomoa wakatafute pesa.
 
Kuna message muhimu inapelekwa Kwa Chama tawala juu ya wagombea sahihi kuelekea 2025.
 
Eneo hilo ni la kina mama Long time lilikuwa lao,ccm walijimilikisha
Hadi kituo cha polisi ni eneo lao

Ova
Nasikia Awamu iliyopita ndio walilivamia watu wakawa wanaogopa kuuwawa.
 
Back
Top Bottom