Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi mtu akianza kwa kusema hana ushabiki wa chama chochote ni ishara tosha kuwa ni mfuasi wa Chama Tawala.Binafsi sina ushabiki wa chama chochote hapa nchini ila huu ni ushauri wa bure kwa chadema na wote wanaohitaji katiba mpya.
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mali ya watanzania na sio ya vyama vya siasa. Ila chadema wanachotaka kuonyesha dunia ni kwamba wanahitaji katiba iwe mali ya chama (chadema) kuthibitisha hilo ni kwamba kuna wananchi wengi sana hata hawajawahi kusoma katiba inayotumika sasa wala hiyo katiba mpya, sasa mtu kama huyu huwezi kumuingiza barabarani kisa kupigania kitu ambacho hakijui.
Ingekuwa vizuri kama chadema na wengine wengi wanaohitaji katiba mpya waelimishe wananchi umuhimu wa hiyo katiba mpya ili mtu ajue anapigania kitu gani bila kusahau wao viongozi wote kuwepo eneo husika na sio mwingine yupo America akichangisha watu pesa ili afanye safari kuichafua nchi na mwingine yupo Africa na ulaya kuwahamasisha watu waandamane huku familia zao zikila chakula mara tano kwa siku.
Kuna kipindi Lissu pamoja na Mbowe waliwahi kuwaambia watu wasipokee vitu kutoka serikalini, hivi mtu asipopokea maendeleo hapo hasara ni ya nani.? Mfano ujenzi wa reli ya kasi inajengwa halafu mwananchi anaenda kuiba reli hapo hasara ni ya nani.?
CHADEMA mtaendelea kulia kuonewa mpaka mwisho wenu lakini elimu kwa wananchi ndio jambo la msingi kuliko maandamano.
Ifike mahali katiba ipambaniwe na wananchi na sio chama cha siasa.
Umeelewa mada.?Maandamano ni haki ya msingi ya kila mmoja wetu,sio kosa kuandamana as far huzuii haki ya asiyetaka kuandamana,KATIBA ni mali ya nchi sio ya chama dola ambacho kimetamka katiba isubiri kwanza!au wewe mtoa hoja hukusikia hili?muda mwingine mtoke huko kwenye comfort zone na mnuse kahawa!
Sasa mbona chadema ndio wanaoonekana wana uhitaji mkubwa wa hiyo katiba kuliko vyama vyote au kuliko wananchi wote.?Maandamano ni haki ya msingi ya kila mmoja wetu,sio kosa kuandamana as far huzuii haki ya asiyetaka kuandamana,KATIBA ni mali ya nchi sio ya chama dola ambacho kimetamka katiba isubiri kwanza!au wewe mtoa hoja hukusikia hili?muda mwingine mtoke huko kwenye comfort zone na mnuse kahawa!
Mtu kusema hana chama sio dhambi, mimi cjawah kupiga kura wala kujihusisha na mambo ya kisiasa na haitoweza kutokea mimi kuwa na mambo hayo, ila ukweli ni kwamba wananchi wengi hawana elimu kuhusu hiyo katiba mpya na ndio maana muitikio wa katiba mpya inafanywa na Chadema tuu, kama hawaruhusiwi kufanya mkutano bc watafute njia nyingine ila sio maandamanoMimi mtu akianza kwa kusema hana ushabiki wa chama chochote ni ishara tosha kuwa ni mfuasi wa Chama Tawala.
Hiyo elimu unayoizungumzia wataitowaje wakati hawaruhusiwi kuwa na mikutano ya aina yeyote inayozungumzia Katiba mpya?
Itakuwaje unaona mapungufu ya Lissu na Mbowe kwenye kupokea maendeleo lakini unafumbia macho waliowaambia raia ambao kodi zao ndio zinatumika kuleta maendeleo kuwa wasipopigia kura chama chao hawatawaletea maendeleo? Ambayo kiukweli si maendeleo bali ni huduma za msingi.
Amandla...
Kwani toka lini maana ya sentesi "Kongamano la Katiba Mpya" imekuwa "Maandamano ya Katiba Mpya"?Binafsi sina ushabiki wa chama chochote hapa nchini ila huu ni ushauri wa bure kwa chadema na wote wanaohitaji katiba mpya.
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mali ya watanzania na sio ya vyama vya siasa. Ila chadema wanachotaka kuonyesha dunia ni kwamba wanahitaji katiba iwe mali ya chama (chadema) kuthibitisha hilo ni kwamba kuna wananchi wengi sana hata hawajawahi kusoma katiba inayotumika sasa wala hiyo katiba mpya, sasa mtu kama huyu huwezi kumuingiza barabarani kisa kupigania kitu ambacho hakijui.
Ingekuwa vizuri kama chadema na wengine wengi wanaohitaji katiba mpya waelimishe wananchi umuhimu wa hiyo katiba mpya ili mtu ajue anapigania kitu gani bila kusahau wao viongozi wote kuwepo eneo husika na sio mwingine yupo America akichangisha watu pesa ili afanye safari kuichafua nchi na mwingine yupo Africa na ulaya kuwahamasisha watu waandamane huku familia zao zikila chakula mara tano kwa siku.
Kuna kipindi Lissu pamoja na Mbowe waliwahi kuwaambia watu wasipokee vitu kutoka serikalini, hivi mtu asipopokea maendeleo hapo hasara ni ya nani.? Mfano ujenzi wa reli ya kasi inajengwa halafu mwananchi anaenda kuiba reli hapo hasara ni ya nani.?
CHADEMA mtaendelea kulia kuonewa mpaka mwisho wenu lakini elimu kwa wananchi ndio jambo la msingi kuliko maandamano.
Ifike mahali katiba ipambaniwe na wananchi na sio chama cha siasa.
Maandamano ni baada ya kuzuiwa kufanya mikutano kwa ajili ya kuelimisha wananchi. Mikutano isingezuiwa wasingeitisha maandamano. Sasa badala ya kuwalaumu ambao hawataki wananchi waelimishwe wewe unawalaumu wanaotaka kuwaelimisha! Hiyo ndio definition ya unafik.Mtu kusema hana chama sio dhambi, mimi cjawah kupiga kura wala kujihusisha na mambo ya kisiasa na haitoweza kutokea mimi kuwa na mambo hayo, ila ukweli ni kwamba wananchi wengi hawana elimu kuhusu hiyo katiba mpya na ndio maana muitikio wa katiba mpya inafanywa na Chadema tuu, kama hawaruhusiwi kufanya mkutano bc watafute njia nyingine ila sio maandamano
Kongamano ni mkutano na maandamano ni katika kuhitaji kitu fulaniKwani toka lini maana ya sentesi "Kongamano la Katiba Mpya" imekuwa "Maandamano ya Katiba Mpya"?
Hebu tuanzie hapo, tufafanulie hilo kabla hatujakuambia wewe ni nani; tupe tofauti ya Kongamano na Maandamano
Inawezekana ukawa mtani wangu Msukuma wewe kwako kongamano na maandamano ni baba mmoja, vinaingiliana moja kwa moja!
Sasa Chadema walisema wanataka makongamano au maandamano ya Katiba? Na kwenye kongamano ni nini kinafanyika kama sio kujadiiliana na kuelimishana?Kongamano ni mkutano na maandamano ni katika kuhitaji kitu fulani
Hueleweki lengo la uzi wako. Ni kumpoda Lisu na Mbowe, au kuzungumzia uhitaji was katiba mpya, au elimu ya uraia. Sio kazi ya Chadema kutoa elimu ya uraia. Vinginevyo kamwamboe m/kiti wako ccm itoe elimu hiyo. Maandamano ni haki kikatiba kwa anaetaka/wanaotaka kuandamana kushinikiza au kuonyesha hisia zake/zao ktk Jambo fulani. Andiko la linakuweka wazi kuwa wewe Ni mwanachama au shabiki waa ccm, usione haya kujibainisha, au acha unafiki.Binafsi sina ushabiki wa chama chochote hapa nchini ila huu ni ushauri wa bure kwa chadema na wote wanaohitaji katiba mpya.
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mali ya watanzania na sio ya vyama vya siasa. Ila chadema wanachotaka kuonyesha dunia ni kwamba wanahitaji katiba iwe mali ya chama (chadema) kuthibitisha hilo ni kwamba kuna wananchi wengi sana hata hawajawahi kusoma katiba inayotumika sasa wala hiyo katiba mpya, sasa mtu kama huyu huwezi kumuingiza barabarani kisa kupigania kitu ambacho hakijui.
Ingekuwa vizuri kama chadema na wengine wengi wanaohitaji katiba mpya waelimishe wananchi umuhimu wa hiyo katiba mpya ili mtu ajue anapigania kitu gani bila kusahau wao viongozi wote kuwepo eneo husika na sio mwingine yupo America akichangisha watu pesa ili afanye safari kuichafua nchi na mwingine yupo Africa na ulaya kuwahamasisha watu waandamane huku familia zao zikila chakula mara tano kwa siku.
Kuna kipindi Lissu pamoja na Mbowe waliwahi kuwaambia watu wasipokee vitu kutoka serikalini, hivi mtu asipopokea maendeleo hapo hasara ni ya nani.? Mfano ujenzi wa reli ya kasi inajengwa halafu mwananchi anaenda kuiba reli hapo hasara ni ya nani.?
CHADEMA mtaendelea kulia kuonewa mpaka mwisho wenu lakini elimu kwa wananchi ndio jambo la msingi kuliko maandamano.
Ifike mahali katiba ipambaniwe na wananchi na sio chama cha siasa.
Popo: Ni mnyama au Ni ndege?Mtu kusema hana chama sio dhambi, mimi cjawah kupiga kura wala kujihusisha na mambo ya kisiasa na haitoweza kutokea mimi kuwa na mambo hayo, ila ukweli ni kwamba wananchi wengi hawana elimu kuhusu hiyo katiba mpya na ndio maana muitikio wa katiba mpya inafanywa na Chadema tuu, kama hawaruhusiwi kufanya mkutano bc watafute njia nyingine ila sio maandamano
Unataka ubague wanasiasa kupigania haki zao za msingi?Acha kujitoa ufahamu, ni watu wangapi unakutana nao wakiwa hawana hata muda na mambo ya siasa.? Kwahy hata hao ni wanasiasa.?
Mwanasiasa ni mwananchi lakini sio wananchi wote ni wanasiasa.
Kwa hiyo ukiwa mwanasiasa wa upinzani unapoteza uraia wako?Kudai katiba mpya inatakiwa ubebe bendera ya nchi na sio bendera ya chama cha siasa.
Kama chadema waliweza kuwashawishi watu wasipokee vitu kutoka serikalini kwann wanashindwa kuwashawishi kukubali katiba mpya.?H
Hueleweki lengo la uzi wako. Ni kumpoda Lisu na Mbowe, au kuzungumzia uhitaji was katiba mpya, au elimu ya uraia. Sio kazi ya Chadema kutoa elimu ya uraia. Vinginevyo kamwamboe m/kiti wako ccm itoe elimu hiyo. Maandamano ni haki kikatiba kwa anaetaka/wanaotaka kuandamana kushinikiza au kuonyesha hisia zake/zao ktk Jambo fulani. Andiko la linakuweka wazi kuwa wewe Ni mwanachama au shabiki waa ccm, usione haya kujibainisha, au acha unafiki.