Wananchi wanahitaji kuelimishwa kuhusu Katiba Mpya na sio Maandamano

Sasa mbona chadema ndio wanaoonekana wana uhitaji mkubwa wa hiyo katiba kuliko vyama vyote au kuliko wananchi wote.?
Huo ni mwono wako binafsi na wewe sio spokesperson wa chadema au watanzania,KATIBA kubadilishwa au la SIO uamuzi wa chama dola.
 
Huo ni mwono wako binafsi na wewe sio spokesperson wa chadema au watanzania,KATIBA kubadilishwa au la SIO uamuzi wa chama dola.
Boss acha kujifanya huna akili, hv tofauti na Chadema ni chama gani kingine kinachopigania katiba mpya.? Ndio maana nasema inaonekana katiba ni ya chadema na sio ya taifa
 
unaonaje ungenyamaza kwa muda hadi hapo utakapokuwa na akili timamu. mtu anayesema hajihusishi na siasa na hapigi kura ni kama tu mifugo mingine
 
Elimu itolewe kwa wananchi kupitia njia ipi, ndugu mwananchi mwenzangu?
 
Halafu hii elimu ilisha tolewa na ile timu ya Jaji Warioba kwa kupita pita kwa wananchi hadi kuipata Katiba Pendekezwa hadi kufika kwenye lile Bunge lililo TU COST walipa kodi mihela mingi!
Rais kasema tusubiri, ni kweli tusubiri kwani hii shughuli ni gharama sana kwani kuna posho nyingi za vikao na hizo ndiyo zinalengwa na Mbowe na CHADEMA yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…