.What matters is the last laugh...
.
Yes indeed, "he who laugh last, laugh most"
siungi mkono zomea zomea za vikundi vya vya watu waliowezeshwa na kuwa organized wazomee, hizi ni chuki binafsi, jamaa mzomewa akipanda dau, wazomeaji wataanza kusifu kwa nyimbo na mapambio.
Naunga mkono, zomea zomea ya ukweli inayoibuka naturally kuthibitisha wananchi wamemchoka mhusika na hili huwa watalithibitisha kwa kura zao.