bmbalamwezi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 788
- 195
Wasomi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) wamesisitiza umuhimu wa kutolewa kwa elimu ihusuyo Katiba Inayopendekezwa kabla ya kupiga Kura ya Maoni. Wasomi hao wamesisitiza kuwa kwa kufanya hivyo wapiga kura watapiga kura wakiwa wanaelewa wanachokifanya. Hima wana JF toeni elimu kuhusu Katiba Inayopendekezwa ili Watanzania washiriki kwenye Kura ya Maoni wakiwa wanaelewa wanachokifanya ikizingatiwa kuwa Katiba ni ya wananchi na si Chenge kama wengine walivyokuwa wakipotosha kwenye jukwaa hili. Kazi kwenu.