Wananchi wapewe mamlaka ya kutengua ubunge wa mbunge wao.

Wananchi wapewe mamlaka ya kutengua ubunge wa mbunge wao.

Void ab initio

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
5,720
Reaction score
5,659
Tumeshuhudia vyama vya siasa vikiwa na mamlaka ya kutengua ubunge wa mbunge wa chama chao muda wowote na wakati wowote wanapojisikia.

Hii ni kutokana na baadhi ya vyama kutumia ubabe,chuki,fitina,majungu,tuhuma zisizothibitishwa,wenye kupinga ufisadi ndani na nje ya chama na watu wenye mitizamo tofauti na viongozi wakuu wa chama kufukuzwa muda wowote bila kujali dhamana ya wananchi ambao ndio wapiga kura.

Umefika wakati sasa wananchi waachiwe mamlaka na madaraka ya kutengua ubunge wa mbunge wao.
 
Inasikitisha zaidi pale ambapo wabunge karibu wote hawakuchaguliwa na wanachama wao, bali na wananchi wengi ambao siyo wanachama!
 
Back
Top Bottom