Wananchi wataka Chadema ifanyiwe Special Audit na Wakaguzi kutoka Scotland Yard

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Scotland Yard hufanya ukaguzi Katika nyanja na Fani mbalimbali za kotaasisi na kijamii

Inaonekana Chadema Kuna Tatizo kubwa kuliko tunavyofikiria ndio sababu Wananchi wameomba Waziri mkuu awalete Scotland Yard Kwa Special audit

Kunywa mchuzi nyama mtazikuta chini 😂
 
Si mlisema Cdm ilishakufa...mbona mnahaha yohana
 
Scotland Yard hufanya ukaguzi Katika nyanja na Fani mbalimbali za kotaasisi na kijamii

Inaonekana Chadema Kuna Tatizo kubwa kuliko tunavyofikiria ndio sababu Wananchi wameomba Waziri mkuu awalete Scotland Yard Kwa Special audit

Kunywa mchuzi nyama mtazikuta chini 😂
Ok..wakimaliza,waongezewe kazi ya kuwabaini waliompiga risasi TAL na wawekwe wazi.
 
Nasikia hao Scotland Yard pia wanafanya upelelezi na uchunguzi wa matukio ya jinai. Unaonaje tuwaongezee na kazi ya kuwatafuta waliompiga risasi Lissu, waliompoteza Ben Saanane, Deusi Soka na waliomuua Mzee Kibao?

Au tuishie kwenye "SPECIAL AUDIT" tu?
 
Scotland yard unaijua kweli? Hawa ni police wa kawaida tu wa UK, hua nashangaa Sana jinsi mnavyowakuza
 
Mkuu usihangaike na huyo dishi limeyumba.Hajui analoandika anajiandikia tu.
 
Kile kikosi cha Serious Fraud kije kifanye ukaguzi.
 
Back
Top Bottom