F Fisadi.Jones Senior Member Joined Aug 15, 2008 Posts 110 Reaction score 7 Dec 18, 2008 #21 Kama RH170 na RH120 nazo zimeharibiwa vya kutosha, basi mjue hawa jamaa wako kwenye matata, na uchimbaji utakuwa umeathirika kwa kiasi kikubwa.
Kama RH170 na RH120 nazo zimeharibiwa vya kutosha, basi mjue hawa jamaa wako kwenye matata, na uchimbaji utakuwa umeathirika kwa kiasi kikubwa.
Mpita Njia JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 6,997 Reaction score 1,172 Dec 18, 2008 #22 Iliyoharibika ni mitambo michache sana ulkilinganisha na mashine walizonazo, nimeshawahi kutembelea mgodi huo na nikaangalia shughuli zao kwa siku tatu mfululizo, hawataathirika sana
Iliyoharibika ni mitambo michache sana ulkilinganisha na mashine walizonazo, nimeshawahi kutembelea mgodi huo na nikaangalia shughuli zao kwa siku tatu mfululizo, hawataathirika sana
Kilbark JF-Expert Member Joined Feb 25, 2008 Posts 572 Reaction score 168 Dec 18, 2008 #23 Duh! Jamaa kweli kiboko