Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Kilmanjaro;Baada ya mateso ya Muda mrefu na Bila kusikilizwa kwa kero zao za barabara wananchi wa kata ya Machame Narumu katika Wilaya ya Hai wameamua Kuweka nguvu zao katika ukarabati wa barabara zao za kijiji baada ya uchakavu wa miaka nenda rudi.