Wananchi waweka nguvu ujenzi wa Barabara za kijiji baada ya mateso ya Muda mrefu

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
9,140
Reaction score
15,963
Kilmanjaro;Baada ya mateso ya Muda mrefu na Bila kusikilizwa kwa kero zao za barabara wananchi wa kata ya Machame Narumu katika Wilaya ya Hai wameamua Kuweka nguvu zao katika ukarabati wa barabara zao za kijiji baada ya uchakavu wa miaka nenda rudi.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Hii ni baada ya mateso ya Muda mrefu wanakijiji wakaamua kujichanga na kukarabati barabara katika vijiji vyao
 
Kilimanjaro wananchi wanajitambua sana kuchangia shughuli za kimaendeleo ni jambo la kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…