Wananchi wenye hasira wamshambulia Kijana baada ya kumuua Mama yake kwa Panga

Wananchi wenye hasira wamshambulia Kijana baada ya kumuua Mama yake kwa Panga

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Kijana James Otumi Kamlusi 32,amekimbizwa katika hospitali ya baada ya kushambuliwa na wananchi wenye hasira kali kwa kosa la kumuua Mama yake kwa kumkata mapanga.

Inasemekana kuwa katika hali isiyotarajiwa kijana huyo wa kijiji cha Lukame alimuua Mama yake Bi Magreth Tsikughungu 63, kwaa kumkata mapanga.

Afisa Mkuu wa Lukame Bw. Shunguya amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na amefafanua kuwa kijana James ni muathirika wa matumizi ya dawa za kulevya.

Shunguya anaongeza kuwa, “tulifanikiwa kumuokoa kijana huyo kutoka mkononi mwa wananchi weye hasira kali na kumkumbiza katika Hospitali ya Kakamega kwa ajili ya matibabu.

panga-pic.jpg

Zaidi soma

A man who hacked his mother to death in Lukume village in Malava, Kakamega County on Sunday night is recuperating at the Kakamega County General Hospital after he was attacked by angry residents.

Mr James Otuma Kamlusi, 32, is said to have killed his 63-year-old mother Margaret Tsikhungu in unclear circumstances.

Lukume Location Chief Malik Shanguya said the man is a drug addict and is likely to have committed the offense while under the influence of drugs.
When neighbours learnt of what had transpired, they attacked the man and beat him, leaving him unconscious.

Chanzo: Citizen Kenya
 
Back
Top Bottom